Agiza dawa na tumia POS
Kwa pharmacy, OTC na ADDO wanaotaka kuagiza dawa kutoka SharuDawa na kupata POS bure.
- Ordering kupitia SharuDawa
- POS ya simu na desktop
- Akaunti moja ya mmiliki
Fungua POS pekee
Kwa pharmacy inayohitaji POS tu, bila akaunti ya kuagiza dawa. Unaweza kuongeza ordering baadaye baada ya uthibitisho.
- POS ya simu na desktop
- Stock, mauzo na risiti
- Hakuna malipo ya POS